Monday, October 22, 2012

HABARI NJEMA KWA WATEJA WETU....

Fea Dil ikiwa kama kampuni MAMA, imeanzisha kampuni DADA inayoitwa "HOT n CHEAP"
Kampuni hii mpya inauza bidhaa zake zote kwa sh 15,000 tu. Kwa sasa inaanza na nguo, then products nyingine kama weavings, hereni nk. zitafuata. Hot n Cheap itakua inauza bidhaa zake mara mbili kwa mwezi-jmosi ya mwanzo na ya mwisho wa mwezi. Tofauti na Fea Dil,  Hot n Cheap haitamfikishia mteja bidhaa hadi kwake, bali itakuwa inatangaza kituo maalum ambapo  bidhaa zake zitauziwa. Pili, mauzo yake ni kwa cash na si mkopo. Bidhaa za Hot n Cheap ni nzuri na bei rahisi...plz tembelea http://hotncheap.blogspot.com

No comments:

Post a Comment